English Lyrics

OMBI LANGU Lyrics – Shomari Chryzo

Advertisement

OMBI LANGU song Details:

Songwriters: Martin Karl Sandberg / Jason Quenneville / Oscar Thomas Holter / Ahmad Balshe / Abel Tesfaye

OMBI LANGU song Lyrics

Baba, napiga goti langu, usiwape nafasi, adui wangu wanataka nife.
Ona, wanavyo nizihaki, wanitakia kifo,
Eh bwana wangu ma maneno wana nena yasini pate, mitego wanatega yasini nase, mkono unishike nisi anguke, nisi kate tamaa, nawanavyo nizihaki.
Eh bwana wangu ma maneno wana nena yasini pate, mitego wanatega yasini nase, mkono unishike nisi anguke, nisi kate, ushindi wangu sifa nitakupa milele, ushindi wangu sifa nitakupa milele.

Daudi alisema hajaona mwenye haki akiachiliwa, na mimi naliya njoo kwangu, uoneshe sina hatiya, vita sio vyetu, ulisema wapigana mwenyewe, vita sio vyetu ulisema wapigana mwenyewe.

Nitaya inuwa macho nitazame milima, msaada wangu utatoka wapii mii, msaada wangu utatoka kwake bwana, asiuache mguu wangu bali anipiganiye vita na adui, Nami nita imba sifa zake nikiwa salama, Nami nita imba sifa zake nikiwa salama.

Rabi naliya, natembea nao shimu wani chimbia, wataka nianguke umo sina hatiya, nakosa laku sema huku navumilia.

Thanks and God bless you !!!

Tags

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button
Close